Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Una comment kama Simba fan leo, hivi kwa hicho kilemba chako kichwa we sio mwana lunyasi kweli?Pamoja na kwamba mmefurahia sana sisi kufungwa, wengine mkaenda mbali kwa kututukana matusi ya nguoni ila mimi nawatakia heri kwa moyo mkunjufu kabisa.
Go mtani, peperusha bendera vyema & make us proud.
Tanzania first, Tanzania above all.
Peace