FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

Nikiweza ku manage muda nitaenda

View attachment 2823942
JamiiForums-31645776.jpg
JamiiForums-312072181.jpg


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, kwakuwa wewe nakuheshimu kidogo... tafadhali rejea posts zangu ktk mechi zenu zote 2 Vs Ahly kwenye AFL, nilisema hikihiki ninachokisema leo.
Tafadhali!
Najua una hekima sana dada nifa, ila kwa yale mabango na masimango apana aseee😁😁
 
Pamoja na kwamba mmefurahia sana sisi kufungwa, wengine mkaenda mbali kwa kututukana matusi ya nguoni ila mimi nawatakia heri kwa moyo mkunjufu kabisa.

Go mtani, peperusha bendera vyema & make us proud.

Tanzania first, Tanzania above all.

Peace
Hatutaki ushirikiano pambaneni kivyenu. Mmekuja champions league ambako huku ndo mtaani kwetu.
 
Aliyetabiri Yanga itafungwa leo hii tokana na uchovu wa Wachezaji toka kwenye timu za Taifa alibezwa sana na Washabiki Maandazi "Mamluki".

Yanga kafungwa 3 na ni dhahiri akina Aziz Ki, Zengeli hata Lomalisa hawakuwa kwenye ubora wao wa siku zote.

Wananchi tusiwe kama Mbumbumbu SC fans ambao huingia na matokeo yao uwanjani 1 kwa 1 maana mpira huwa hautabiriki..



Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Peleka maoni yako ya kufungwa kwenye uzi wa yanga mlikozoea kufungwa. Usituletee story za kufungwa sisi hatujazoea kufungwa.
 
Back
Top Bottom