FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

Ila ni ukweli ulio wazi leo mwamko umekuwa mdogo sana na viongozi wasidharau tena manung'uniko ya mashabiki. Haya ya leo ni matokeo ya malalamiko ya muda mrefu ambayo yameonekana kupuuzwa.

Kufikia kufungulia mbwa ni mambo ya Yanga haya, wangeacha watu hao hao waliolipa waingie tupate taswira sahihi badala ya kufichaficha.
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Beki imeacha nafasi, lile shambulio mpira ungekaa vizuri mguuni ingekuwa hatari.
 
Back
Top Bottom