FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

Acha kukariri. Ninyi ndio mnaorudisha Simba nyuma na chamaism yenu. Timu imecheza vzr na pasi za magoli zimetengenezwa za kutosha. Kwani Simba huwa haifungwi akicheza huyo Chama wako?
Chama ataingia kipind cha pili kuongeza Nguvu
 
😂😂😂😂
walipunguza sana uchungu jana kisha wakashushia na maji kabisa..
walikuwa hawaonekani ghafla wakaanza kutoa vichwa Jana..
😅😅😅 Ila afadhali kwani kuna hali fulani ya makasiriko imepungua vichwani mwao.

Wana ahueni sasa. 😅
 
Nadhani Simba inahitaji mtu mithili ya max wa yanga pale katikati.
Yule naye makeke mengi anakaa na mpira mguuni muda mwingi.

Aina ya wachezaji tunaowahitaji kama tuko serious hatuwezi kuangalia ligi ya ndani hapa.

Labda kama ni choice ya mzawa ambayo ni ya lazima
 
Acha kukariri. Ninyi ndio mnaorudisha Simba nyuma na chamaism yenu. Timu imecheza vzr na pasi za magoli zimetengenezwa za kutosha. Kwani Simba huwa haifungwi akicheza huyo Chama wako?
Anamaanisha hakuna ubunifu kutoka kwa CAM waliopo na yupo sahihi, Simba ikipata mtu wa kati mshambuliaji makeke wa kuamisha mpira kutoka midfield kwenda kwenye eneo la ushambuliaji Simba itakuwa hatari sana.
 
Yule naye makeke mengi anakaa na mpira mguuni muda mwingi.

Aina ya wachezaji tunaowahitaji kama tuko serious hatuwezi kuangalia ligi ya ndani hapa.

Labda kama ni choice ya mzawa ambayo ni ya lazima
Kuna ukweli. Ila still tunahitaji mtu wa hiyo nafasi.
 
Kwa ule mpira wa kasi wa Yanga tusije kukutana nao tena tukacheza hivi. Tutanyanyasika mno.
Mkuu hama timu, maana si kwa kuikatia timu tamaa kiasi hiki. Thread nzima imejaa message zako tu.
 
Usizisome boss kama zinakukera.

Kuna ambao tunatamani kuitazama Simba tunayoifahamu.
 
Acha kukariri. Ninyi ndio mnaorudisha Simba nyuma na chamaism yenu. Timu imecheza vzr na pasi za magoli zimetengenezwa za kutosha. Kwani Simba huwa haifungwi akicheza huyo Chama wako?
Mbona kama unateseka? Mtu sahihi ni chama hapo.
 
Back
Top Bottom