DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Huyu Jamaa Itakuwa aliliona GoalWewe mchawi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Jamaa Itakuwa aliliona GoalWewe mchawi
Negativities zako tu.So far hata mchezo ni mweupe sana. Timu haina nuru.
Chama ataingia kipind cha pili kuongeza NguvuAcha kukariri. Ninyi ndio mnaorudisha Simba nyuma na chamaism yenu. Timu imecheza vzr na pasi za magoli zimetengenezwa za kutosha. Kwani Simba huwa haifungwi akicheza huyo Chama wako?
Yuko sahihi acha ushabiki mandaziNegativities zako tu.
😅😅😅 Ila afadhali kwani kuna hali fulani ya makasiriko imepungua vichwani mwao.😂😂😂😂
walipunguza sana uchungu jana kisha wakashushia na maji kabisa..
walikuwa hawaonekani ghafla wakaanza kutoa vichwa Jana..
Yeah yani wepesi mnoo na wanafungika vizuri sana nashangaa HT kagoli kamoja tu eti! Tena ka penati🤠Nao wabovu tu
Dooh!Wayaaaaaaaaaaaaa....
Sema Simbaaaaaaaaaaa.....
Yule naye makeke mengi anakaa na mpira mguuni muda mwingi.Nadhani Simba inahitaji mtu mithili ya max wa yanga pale katikati.
Mechi ya simba haipo hapoMechi Ya Simba Unaijuaje maana ni Kiarabu
Anamaanisha hakuna ubunifu kutoka kwa CAM waliopo na yupo sahihi, Simba ikipata mtu wa kati mshambuliaji makeke wa kuamisha mpira kutoka midfield kwenda kwenye eneo la ushambuliaji Simba itakuwa hatari sana.Acha kukariri. Ninyi ndio mnaorudisha Simba nyuma na chamaism yenu. Timu imecheza vzr na pasi za magoli zimetengenezwa za kutosha. Kwani Simba huwa haifungwi akicheza huyo Chama wako?
Kuna ukweli. Ila still tunahitaji mtu wa hiyo nafasi.Yule naye makeke mengi anakaa na mpira mguuni muda mwingi.
Aina ya wachezaji tunaowahitaji kama tuko serious hatuwezi kuangalia ligi ya ndani hapa.
Labda kama ni choice ya mzawa ambayo ni ya lazima
Mkuu hama timu, maana si kwa kuikatia timu tamaa kiasi hiki. Thread nzima imejaa message zako tu.Kwa ule mpira wa kasi wa Yanga tusije kukutana nao tena tukacheza hivi. Tutanyanyasika mno.
Natazama mpira na naijua Simba ikiwa kwenye form. Mtazamo wako uheshimiwe pia.Negativities zako tu.
Kwahiyo kumbe unafanya kusudi hukuwa umelewa?Ila ww Mwanamke si nimekuambia kama nataka nikusweke.....
Mdogo wangu hatutaki kuziongopea nafsi zetu atiii. 😅😅😅Najua wanatuombea mabaya tu...
Usizisome boss kama zinakukera.Mkuu hama timu, maana si kwa kuikatia timu tamaa kiasi hiki. Thread nzima imejaa message zako tu.
Hahaha nimefurahi sana.Kwahiyo kumbe unafanya kusudi hukuwa umelewa?
We mpuuzi umetumwa nini? Acha usenge mbwa wewe.
Nikome
Mbona kama unateseka? Mtu sahihi ni chama hapo.Acha kukariri. Ninyi ndio mnaorudisha Simba nyuma na chamaism yenu. Timu imecheza vzr na pasi za magoli zimetengenezwa za kutosha. Kwani Simba huwa haifungwi akicheza huyo Chama wako?