LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,491
- 12,560
Timu ya Simba ni mbovu sana. Hawawezi kufika popote.
Robetinyo
Aombwe msamaha tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu ya Simba ni mbovu sana. Hawawezi kufika popote.
sikia mpira upo hivi kipindi ambacho mpinzani yupo dhaifu tumia nafasi vizuri sasa kwa sasa hv ni ngumu sio kama kipindi cha mwanzo nafasi zilikuwa zinaonekana na sio lazima awe Chama hamnaHaya Chama wako kaingia na tukafungwa sasa. Acheni kukariri.
Hao jamaa simba akienda kwao kwa mpira huo atapigwa zakutosha.asec sio wabovu
Kweli pira objective ana umuhimu wakeRobetinyo
Aombwe msamaha tu
Viongozi ndio tatizoNdugu wanasimba hii timu yetu kwa sasa ni mbovu. Sijui tatizo liko wapi? Je, ni uongozi au ni wachezaji?
Halafu kuna mtu hataki mashabiki walalamike. Wakati hii sio Simba iliyozoeleka.Simba sijui imekuwaje yaani pass mbili inapokonywa mpira wachezaji hawana morari kabisa kama hawataki simba si wasepe..
AhhhhhhhBinafsi siangalii mpira..sahivi ila ukitaka ufe mapema endekeza mambo ya Mpira.
Duh!!Mwendo ni ule ule kama Yanga tu
Duh..Asec wamechachamaaaa kinoumaaa 🕺🕺🤠!
Safi sana
Ndio maana jana usiku mmekojolewa bao 3 mkalala yoooSafi sana Asec endelenii na kasi hiohio!
Mm najuwaga wee Ni Simba lialia kumbe Ni twigaSafi sana Asec endelenii na kasi hiohio!
Hurrraaayyy Asec Hurrraaayyy 🕺🕺!Ndio maana jana usiku usiku mmekojolewa bao 3
Raja alijipigia my wake vi3 vi3 nyumbani na ugenini.[emoji23][emoji23][emoji23]Jana alikula chuma 3. Kimya leo yalivyo hayana Akili et yanashangilia Draw.