FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

Kuna jambo tuelewane, ni faida kwa mpira wetu ikiwa Zote Simba na Yanga zitaenda hatua ya pili. Kufika huko tunahitaji match hizi za makundi tushinde. Hii sio Ligi kuu wala Azam Cup, hapa tunapigania maendeleo ya soka la Bongo. Tuache ushabiki wa kuwaombea leo eti Simba ipoteze kisa sisi jana tumepoteza. Tunasahau kuwa tumefika hapa kwa sababu ya mafanikio ya Simba katika miaka kadhaa nyuma? AGAIN TUACHE USHABIKI USIO NA TIJA TUSONGE WOTE.
Simba haiwezi kufungwa kwa kuiombea mabaya, itafungwa kwa ilivojipanga, acha tujipe furaha si wananchi, kelele zenu ndio zimewafikisha hapa

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Haya Chama wako kaingia na tukafungwa sasa. Acheni kukariri.
Boss, Kuna watu wameifuatilia Simba miaka na miaka, wanajua timu ikiwa katka ubora huwa ikifungwa hawasemi timu ni mbovu.

Mashabiki wa aina hii wanaposema Kikosi hakipo sawa inamaana wameona hakipo sawa sababu wanalinganisha na misimu iliyotangulia wakati timu inacheza vizuri.
 
itoshe kusema unyamani hamna team naona kikundi cha wahuni uwanjani washakula ganja wanarukaruka tuu pasipo mwelekeo. kama mtanzania mkajipange kwa hili kwa kweli wote mmetuwakilisha taifa ila sasa duh!! sio chura wala myama wametupa kutembea kifua mbele.
 
Back
Top Bottom