Pale angekuwa Ahmada ilikuwa kambaSakho looooooo, Azam FC wanaokoa ilikuwa nafasi nzuri
😂😂Au anatudanganya niniHatujamzoea mleta uzi 😆 😆 😆
Rough isiyo na faida katikati ya uwanja!Kanoute ana rough za kipuuuzi sometimes
Tuwekee ile picha ya anko wa Simba "hatoki mtu kwa mkapa"🤣🤣🤣Daah leo uwanja unaitwa wa hayati kwani ungeweka de le mkapa stadium ungekosa nini mkuu,sie simba tukifungwa tutakulaumu kwa kututajia hayati siku ya mechi