FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

Dah goli la mapema mno kwa timu kama Simba any way piga hao mpaka wajue mpira hauchezwi kwa ndumba😂😂
 
Kwamba kocha hajaona kwenye shida? Mi naona poor marking ya beki za Kati. Mpira unaweza kuisha kwa red kwa Simba huu. Si kwa yellow hizi
 
Mbona tuko peke yetu hapa? Mashabiki wa kinyumenyume FC wako wapi?
 
38' Bocco ile rebound kwa mkwaju wa Sakho angekuwa shapu angefunga

Simba SC 0-1 Azam FC
 
Daah leo uwanja unaitwa wa hayati kwani ungeweka de le mkapa stadium ungekosa nini mkuu,sie simba tukifungwa tutakulaumu kwa kututajia hayati siku ya mechi
Tuwekee ile picha ya anko wa Simba "hatoki mtu kwa mkapa"🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom