FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

Hii mechi kimsingi ingehairishwa, hata hiyo ya Yanga kesho ili kutoa nafasi ya timu kupumzika na kujiandaa mechi za kimataifa weekend inayokuja.
Wamekusikia bodi. Itasogezwa mbele kama ile ya Mbeya city. Ondoa shaka.
 
This is simba angekufa asingeonekana kajeruhiwa na Simba akijeruhiwa magodoro utafutwa mapema
The return of Taifa kubwa
 
Hii mechi kimsingi ingehairishwa, hata hiyo ya Yanga kesho ili kutoa nafasi ya timu kupumzika na kujiandaa mechi za kimataifa weekend inayokuja.
Hakuna viporo hapa bampa to bampa ukichoka una shuka njiani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…