John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
Leo wanakuja Kwa mguu toka BunjuJamaa leo sijui watakuja na staili gani ya uchawi maana hawawezi kuja kinyumenyume tena
Bocco atabaki na kuendelea kuwa Bocco.Kabisa kabisa Bocco yupo juu ya Phiri na Baleke. Kuna namna hapo...
Sina imani za kishirikina ila nitamcheki bocco anipeleke huko namimi nipate cheo hapa ofisini.
Sijui itakuwaje wiki hii mjikute mnapoteza kwa azam halafu muende Uganda mkapoteze kwa Viper. Yaani ushauri wa bure ni kocha kubeba begi Lake kabisaYanga ni vipofu walioona jua..yani kumfunga Tp Mazembe wanajikuutaaa wakati walifungwa na Ihefu....
Hili hawatakaa walisahau..
Bocco endelea kutukera huna baya na mtu...
Uko wapi Kalpana nije kukupa pole Mtani kwa kichapo kitakatifu toka kwa Raja Casablanca [emoji848][emoji87]Yanga ni vipofu walioona jua..yani kumfunga Tp Mazembe wanajikuutaaa wakati walifungwa na Ihefu....
Hili hawatakaa walisahau..
Kamsindikiza ManzokiHivi huyu ndugu yetu OKW BOBAN SUNZU amepatwa na nini? Nimemtafuta paka kule jukwaa la siasa bila mafanikio