FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

Amoah anaonyeshwa Kadi ya Njano kwa upande wa Azam FC

Refa anatembeza Kadi balaa
 
😂😂😂😂😂😂
p_6832124121384522232757_0_5e7075bc9850341bc4dd7edf10dd5eca.jpg
 
Refa anaonesha mapenzi yake dhahiri kwa Simba, anawapa faulo eneo zuri pasipo sababu yoyote ile. Ngoja tusubili tuone mwisho wake
 
Makolo wanavyomlalamikia Bocco, unaweza kuhisi kuna mtu wa maana pale bench. Kumbe upuuzi mtupu!

By the way, hata ningekua mimi ndio kocha wenu, ni lazima ningemuacha Phiri asubiri mechi zijazo za klabu bingwa ili tusije kunyanyasika sana!
 
Back
Top Bottom