Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dubeeeeeeee sekunde 15Kuna habari gani hapa jamani?
[emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102]
Shikamooo
FTMpaka mwisho 2-1
Best mwaka wa njaa ni wa njaa tu...Dubeeeeeeee sekunde 15
Kuna mtu mwanangu kapakatwa TenaKuna habari gani hapa jamani?
[emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102]
Mnashinda hii game simba
Hili tatizo tusiende nalo Uganda, litatu cost pakubwa sana, kocha afanye mabadiliko kumaliza hii kero.
Wapi?Jezi nzito unaiona?
Daddy dr namugari ndiyo naona, anapendwa sana kupakatwa. Anadeka sana huyu paka
.Kipigo atachopigwa leo Azam kitampotezea maana halisi ya mchezo ni burudani
Nitarudia..Hili tatizo tusiende nalo Uganda, litatu cost pakubwa sana, kocha afanye mabadiliko kumaliza hii kero.