FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

Naona kama wanacheza small boys vs Ndola city
Sioni radha ya pila biliani kama lile la yanga na mazembe
RIP Mchezaji
 
Shikamooo
JamiiForums1285041898.jpg
 
Simba SC hawatumii nafasi, ambapo Azam wamepata mbili tu na moja bao, Simba wamepata nyingi, wangekuwa makini ubao ungekuwa Simba wapo mbele.

Prince Dube hahitaji nafasi nyinyi ndo maana nilimuweka katika Kikosi changu, ambapo akina Bila bila wakatukana sana kisa Mayele

Cc Scars
Hili tatizo tusiende nalo Uganda, litatu cost pakubwa sana, kocha afanye mabadiliko kumaliza hii kero.
 
Duh Bocco amefinywa na golikipa wa Azam FC, ilikuwa balaaa
 
Back
Top Bottom