FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

Tatizo timu letu bovu, wachezaji wa kuokoteza unategemea nini?

Zamu yetu kudharaulika na kuitwa majina ya hovyo.

Msema kweli ni mpenzi wa Mungu
 
Utopolo hii wiki yenu ya kubwabwaja[emoji36][emoji36][emoji36]tukitoka Uganda hiyo midomo mtaifunga[emoji2958][emoji2958][emoji2958]
 
Mashabiki wa Simba mliopo Dar na mikoa ya jirani kama Moro na Pwani, kesho mkutane msimbazi mkazozane.

Wale mlioko mikoa ya mbali, basi anzisheni nyuzi humu JF tuje kuchangia mada zenu za malalamiko 😅😅😅
 
51f0fab3a84d438f36e5dd52f5d9e5f7.jpg
 
Back
Top Bottom