Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Kituko kingine oktoba 23 hapo hapo kwa mkapa anzeni kununua dozi za panadol.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Safari hii itakuwa ni Pep wa TZ dhidi ya Prof wa kubambambikwa. Msitengemee advantage ya upangaji mbovu wa timu kama ilivyokuwa ngao ya jamii & mechi ya FA