OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Daaah Air Manula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sasa ndo utamu wa mchezo ulipo..mimi wala siwadharau Yanga kukosa mabao kipindi cha kwanza inakua kila timu imekamiaWakati yanga inamaliza Half Time haijafunga mlisema Yanga ni mbovu,, walivyoshinda mnasema Yanga haikupaswa kutumia nguvu kubwa
Utadhani siyo wao waliotoka kutolewa kamasi na Prison na kuambulia kigoli kimoja Kwa mbinde dakika za lala Salama.
Juzi tu haya mambumbumbu yametoka kupakatwa na timu kutoka Djibouti.Mlishawahi kucheza na timu za aina ya Zalan mlikua na maajabu gani? Nawakumbuka Green Warriors niko hapa fukwe za ziwa Nyasa(Matema) napunga upepo na JD yangu pembeni
Anapapara sana kwenye eneo la mwisho, nadhani angetoka aingie SAKHO Kisha KIBU atoke aingie BANDA hapo nadha hapo timu itapata mwindo kidogoHuyu Okrah huyu aisee
Ongezeni magoli 1 halitoshi.Thanks mtani wangu wa nguvu.
Mnahaha sana humu mtasema yote .Juzi tu haya mambumbumbu yametoka kupakatwa na timu kutoka Djibouti.
Kuna Jini moja tu Tanzania, Fiston Kalala Mayele.Kama Jini
Yani ww kichwani uko vzr sana. Siku ukioa nitumie kadi kuna laki yako hapa.Ongezeni magoli 1 halitoshi.
Tusipoiombea simba mazuri tutakuwa wajinga sana kwani wao ndio sababu ya timu zingine kupata nafasi hii mtani