FT: Simba 2-0 Nyasa Big Bullets (Agg 4-0) | CAF Champions League | Mkapa Stadium

Wakati yanga inamaliza Half Time haijafunga mlisema Yanga ni mbovu,, walivyoshinda mnasema Yanga haikupaswa kutumia nguvu kubwa
Hapo sasa ndo utamu wa mchezo ulipo..mimi wala siwadharau Yanga kukosa mabao kipindi cha kwanza inakua kila timu imekamia
 
Huyu Okrah huyu aisee
Anapapara sana kwenye eneo la mwisho, nadhani angetoka aingie SAKHO Kisha KIBU atoke aingie BANDA hapo nadha hapo timu itapata mwindo kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…