FT: Simba 2-0 Nyasa Big Bullets (Agg 4-0) | CAF Champions League | Mkapa Stadium

Ongezeni magoli 1 halitoshi.
Tusipoiombea simba mazuri tutakuwa wajinga sana kwani wao ndio sababu ya timu zingine kupata nafasi hii mtani
Hebu peleka ujinga wako Kwa wajinga wenzio.

Yanga ni mabingwa wa nchi ndio sababu wanashiriki.
 
Wekeni ka kideo basi mimi kifurushi home kimeisha jamani daaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…