FT: Simba 2-0 Nyasa Big Bullets (Agg 4-0) | CAF Champions League | Mkapa Stadium

Vip nyinyi Simba ambao mna Afya imejaa tele tunavyo wapasua shida inakua ni Nini?
Nyie endeleeni kujilinganishq na simba kwa vigoli uchwara vyenu eti ttunawafunga sasa kwa magoli yapi?.hivyo vimoja moja vya kuotea? Tena mna bahati yule kocha mzungu alikua hamtaki Phiri ila mngekung'utwa nyieee
 
Nyie endeleeni kujilinganishq na simba kwa vigoli uchwara vyenu eti ttunawafunga sasa kwa magoli yapi?.hivyo vimoja moja vya kuotea? Tena mna bahati yule kocha mzungu alikua hamtaki Phiri ila mngekung'utwa nyieee
Na mlivyofungwa mwanza mzungu alikuwepo!
 
Toa harufu hapa nenda Chooni kwanza
Hilo unalijuwa wewe, Yanga inashiriki club bingwa Kwa sababu ndio mabingwa wa nchi.

Kama mlipigania nafasi 4 mnanufaika wenyewe maana otherwise mwaka huu mngeenda shirikisho direct Tena mngeanzia round ya Pili.
 
Acha kupoteza muda hizi takataka zina uelewa mdogo sana
 
Mi goli moja naona kama ni kubahatisha tuu pale mlibahatisha hata yule Fei hakujua kama atafunga ndo maana alishangaa.
Ndio maana Mayele akaamuwa awapige viwili mbele na nyuma ili kumaliza utata na ubishi.
 
Ndio maana Mayele akaamuwa awapige viwili mbele na nyuma ili kumaliza utata na ubishi.
Shida yenu ni akili ndogo na huwa siongei hyo lugha unayotumia ww mm najua alifunga sasa huko nyuma na mbele labda mlikua nae mnasaidiana..mnamtukuza mtu hana maajabu yoyote..Mayele ni mtu mdg sana kwa Simba alibahatisha maana kama kufungwa mlianza kubamizwa nyie. Yani sasa hivi mpk mnamuona kama mungu mtu wenu mnasahau mamilioni mlotoa kwa ajili ya Aziz mnamsahau Fei toto yani ujinga mzigo. Kwahyo timu sasa sio Yanga ni mayele?.hya mayele fc endelea na kumbukizi
 
Unaumia ukiwa wapi? Poleeh!
 
Naomba msamaha chama kwa niaba ya yeyote aliewahi kukufananisha au kukulinganisha na mchezaji yeyote au yeyote aliepata wazo la kukufananisha

Zimbwe jr na manula naweza kuwaingiza katika top ten tz best players
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Your browser is not able to display this video.
 
Simba ni vibonde zaidi, siku hizi Mayele anajipigia tu anavyotaka.

Zalan na hao vibonde Nyasa Bullets ni pipa na mfuniko.
Mmekuwa watumwa wa Mayele you praising him to the fullest

No wonder kuona baadhi yenu wamefikia hatua ya kutamani kuwa wanawake ili waolewe na Mayele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…