Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
- Thread starter
-
- #161
Ngoja Aziz Ki akolee...Chama ndio mchezaji Bora aliwah cheza Tanzania jamaa hatumii nguvu kabisa Kila kitu anafanya Kwa akili sana
Lakini utashangaa anaingia SakhoSecond half nategemea kumuona mtu kama Okwa kwenye nafasi ya Kibu D
Nawatakia ushindi watani zetu ili tusonge woteSecond half nategemea kumuona mtu kama Okwa kwenye nafasi ya Kibu D