Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
- Thread starter
- #161
Inonga anakaa uzuri na kuondoa hatari baada ya pasi mbovu ya Chama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja Aziz Ki akolee...Chama ndio mchezaji Bora aliwah cheza Tanzania jamaa hatumii nguvu kabisa Kila kitu anafanya Kwa akili sana
Lakini utashangaa anaingia SakhoSecond half nategemea kumuona mtu kama Okwa kwenye nafasi ya Kibu D
Nawatakia ushindi watani zetu ili tusonge woteSecond half nategemea kumuona mtu kama Okwa kwenye nafasi ya Kibu D