FT: Simba 2-0 Nyasa Big Bullets (Agg 4-0) | CAF Champions League | Mkapa Stadium

FT: Simba 2-0 Nyasa Big Bullets (Agg 4-0) | CAF Champions League | Mkapa Stadium

Kikosi
 

Attachments

  • 7a5b17203468438bb024c52664ba79bf.jpg
    7a5b17203468438bb024c52664ba79bf.jpg
    88.8 KB · Views: 2
Mashabiki wa simba bhana! Ngoja timu ifanye vibaya sasa!! Kocha Mgunda uwezo wake mdogo!! Wachezaji hawajitumi!! Matola aondoke!! Barbara amuachie Magori nafasi ya U CEO!!

Tunawaangalia tu mnavyo jimwambafai.
Kwa jinsi mnavyojinadi kuwekeza kwenye usajili (kama ni kweli) halafu mkaishia kwenye hatua hizi za awali ikiwa target yenu ni makundi, sidhani kama mtakuwa na sababu ya kumbakiza Nabi, unless miwe mmlenga mashindano ya ndani kwa miaka yote ambayo kimsingi ndiyo hadhi yenu.


Kwenye team zenye kutafuta mafanikio sio swala kushangaza kuona wanatimua machoka (hata kama ni wawili kwa msimu), mbona hamuwatolei mfano Ahly wamefukuza makocha wawili ndani ya miezi kadhaa au kwa Simba Sc tu ndo mbaya?
 
Back
Top Bottom