FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

Alizodaka huyo Ayubu na Diarra then calculate percent,hesabu za darasa la saba.
Zipo mechi ambazo Ayoub aliruhusu bao kwa uzembe wa mabeki.

Lakini kwenye ile ya 1v1 kabisa Ayoub yupo compact

Diarra alifungwa bao hapa na kisemvule, hapo huwezi kuwapa lawama beki zaidi ya yeye mwenyewe
 
Ukiachana na mheshimiwa Onana Ayoub mpaka muda huu kanikosha ila ilaaa kipindi hiki cha pili tahadhari muhimu zichukuliwe kuna kakitu nimekaona ila tu kamefichwa na magoli haya
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Nawaonea shere walaqhi'..!! Nitamuachia nani Yanga yangu sasa dada Mackie..??
Maki Alfo ni Makolo damu damu. Wewe bakia kuwa Mwananchi ili kuleta amsha amsha ndani ya nyumba. Huwa inasaidia sana! ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿ–
 
[emoji23][emoji23]
Nawaonea shere walaqhi'..!! Nitamuachia nani Yanga yangu sasa dada Mackie..??
Waachie wenye wanapendaga maumivu[emoji1]

Raha kama hizi unazikosaje kirahisi namna hii mdogo wangu....

Imagine Christmas ndiyo hiyo...Na zawadi ndiyo tumepewa mapema hivi...

Alilililiiiiiiiii...
 
Zipo mechi ambazo Ayoub aliruhusu bao kwa uzembe wa mabeki.

Lakini kwenye ile ya 1v1 kabisa Ayoub yupo compact

Diarra alifungwa bao hapa na kisemvule, hapo huwezi kuwapa lawama beki zaidi ya yeye mwenyewe
Kwani yale magoli ya Zambia yalikuwaje, si Tegeta Chamanzi au haukuona. Tena alipigwa Zambia na Dar au umesahau.
 
Kumbe wewe ndio hujui.

Katika factors 5 za ku determine value ya mchezaji the top priority ni Skills and performance

Na sio kigezo cha kusema utaifa, sema ligi anayotokea yani Quality ya ligi.

Sasa Ligi aliyotokea huyo Ayoub katika mlinganyo wa ubora ukifanya equivalent na NBC utaona ni sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ