FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

Yanga Sc mpaka leo wanafurahi kupata medali (mshindi wa pili), ilihali Wydad aliipata hiyo kwenye AFL na CAFCL mara nyingi na hakushangilia.

Hawafanani hao[emoji23]
 
Waachie wenye wanapendaga maumivu[emoji1]

Raha kama hizi unazikosaje kirahisi namna hii mdogo wangu....

Imagine Christmas ndiyo hiyo...Na zawadi ndiyo tumepewa mapema hivi...

Alilililiiiiiiiii...
Hapo penye maumivu ndipo utamu ulipo C'ssy..!!😂😂
 
Nyie Makolo semeni wenyewe mapema, hii mechi mkifungwa itakuwaje?

Maana nyie ndio mabingwa wa hesabu za makundi, nyie ndio mnajua kucheza mechi za makundi CAFCL 🤣🤣
Samaleko mwwarabu
 
Imekaa poa,


Ahsante[emoji1317][emoji1317]


[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…