Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga Sc mpaka leo wanafurahi kupata medali (mshindi wa pili), ilihali Wydad aliipata hiyo kwenye AFL na CAFCL mara nyingi na hakushangilia.Wydad wangekuwa na mindset za Yanga basi muda huu wangekuwa wanafuraha kuliko sisi.
Unajua kwanini?
Kwasababu furaha ya Yanga siku zote ni kucheza vizuri na kumiliki mpira kuliko mpinzani haijalishi amefungwa bao ngapi.
Leo Wydad kamaliza mechi akiwa mnyonge amekaa chini, ingekuwa ni Yanga wangekuwa wanakumbizana uwanjani kwa furaha.
Hapo penye maumivu ndipo utamu ulipo C'ssy..!!😂😂Waachie wenye wanapendaga maumivu[emoji1]
Raha kama hizi unazikosaje kirahisi namna hii mdogo wangu....
Imagine Christmas ndiyo hiyo...Na zawadi ndiyo tumepewa mapema hivi...
Alilililiiiiiiiii...
Tena ushindi kwa timu nzito sio unacheza na kina Medeama unashinda halafu unajiona na wewe ni big fishNani kasema SIMBA ni ya sare..!!
Kazi ya ukocha ni miongoni mwa kazi ngumu sana.[emoji1787][emoji1787] Akifika Anafukuzwa kazee kawatu
😂😂😂Maki Alfo ni Makolo damu damu. Wewe bakia kuwa Mwananchi ili kuleta amsha amsha ndani ya nyumba. Huwa inasaidia sana! 🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🖐
✅✅✅Leo tunashinda 2-0
Wana Simba tembeeni vifua mbereeee (in jiwe’s voice)
Samaleko mwwarabuNyie Makolo semeni wenyewe mapema, hii mechi mkifungwa itakuwaje?
Maana nyie ndio mabingwa wa hesabu za makundi, nyie ndio mnajua kucheza mechi za makundi CAFCL 🤣🤣
Kocha alikua bado mpya hakuwajua vizuri wachezaji na hakuwa na muda wa kutosha wa kuwapika.hawa hata kule kwao ilitakiwa tuwafunge, basi tu hatukujipanga vizuri.
Pandeni juu mkazibe, mbwa koko nyieWanaenda Tutia Aibu Uwanjani.