FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

Nomecheka balaa
 
Yanga Sc mpaka leo wanafurahi kupata medali (mshindi wa pili), ilihali Wydad aliipata hiyo kwenye AFL na CAFCL mara nyingi na hakushangilia.

Hawafanani hao[emoji23]
Huko kwenu Leo wamekoma πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Yaani ni afadhali hata Yanga princess kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚
Mnapenda kujifariji sana
  • Simba alipoenda kucheza na Wydad mlisema kwa mpira mbovu atapigwa nyingi sana. Wengine walisema Wydad anamsubiri mwali wake
  • Baada ya Simba kupigwa 1-0 mlisema alishikilia bomba
  • Leo Simba ameshinda mnasema Wydad siyo timu
Yanga huwa hakosi visingizio, kipindi kile baada ya kupigwa 3-0 Algeria walisema wataifunga Al Ahly wakatoka 1-1 pamoja na kuvaa msuli.
Yanga ina miaka 25 ndiyo imefaulu kuingia makundi ya club bingwa. Jiulize kati ya hiyo miaka 25 wamechukua makombe mangapi hapa Tanzania? Ndiyo ujue Yanga ni timu mbovu.
 
Hamna lolote tena nyie mna maneno machafu sana.
Kuna siku alijisahau akaongea neno moja hilo nilichoka!
Nyie ndio kiboko kwa maneno basi tu misimu hii mitatu hamna jipya.
Yanga ina miaka 25 ndiyo imefaulu kuingia makundi ya club bingwa
Jiulize kati ya hiyo miaka 25 wamechukua makombe mangapi hapa Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…