lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Kama tungekua na kocha huyu kabla ya mechi na Asec,Asec angekalishwa kwa Mkapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunya boga tujue umekasirika.Magoli ya kichawii kabisa haya[emoji26][emoji26]
Neno fish liondoke liwe frog mkuuTena ushindi kwa timu nzito sio unacheza na kina Medeama unashinda halafu unajiona na wewe ni big fish
Nomecheka balaaWydad wangekuwa na mindset za Yanga basi muda huu wangekuwa wanafuraha kuliko sisi.
Unajua kwanini?
Kwasababu furaha ya Yanga siku zote ni kucheza vizuri na kumiliki mpira kuliko mpinzani haijalishi amefungwa bao ngapi.
Leo Wydad kamaliza mechi akiwa mnyonge amekaa chini, ingekuwa ni Yanga wangekuwa wanakumbizana uwanjani kwa furaha.
Ukimjua mchawiiiiiiiiiiiMagoli ya kichawii kabisa haya[emoji26][emoji26]
Huko kwenu Leo wamekoma 😀😀😀Yanga Sc mpaka leo wanafurahi kupata medali (mshindi wa pili), ilihali Wydad aliipata hiyo kwenye AFL na CAFCL mara nyingi na hakushangilia.
Hawafanani hao[emoji23]
Chomoa mwiko huo uone pira benchikaMagoli ya kichawii kabisa haya[emoji26][emoji26]
Kabisa😀Tuleteeni Man U sasa nayo tujipigie
Mnapenda kujifariji sanaYaani ni afadhali hata Yanga princess kabisa 😂😂
Makolo mbona mapema mno msije kuanza kutukana baadae na lawama maana akili zenu fupi sana..Itoshe kusemaaaa Benchika tumepataaa
Yanga ina miaka 25 ndiyo imefaulu kuingia makundi ya club bingwaHamna lolote tena nyie mna maneno machafu sana.
Kuna siku alijisahau akaongea neno moja hilo nilichoka!
Nyie ndio kiboko kwa maneno basi tu misimu hii mitatu hamna jipya.
Mdomo uliponza kichwa mkuuTuleteeni Man U sasa nayo tujipigie
Utopolo ametumia miaka 25 kuingia kwenye makundi ya champion League.Makolo mbona mapema mno msije kuanza kutukana baadae na lawama maana akili zenu fupi sana..
Umetisha[emoji736][emoji736][emoji736]