FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

Me sio yanga Mkuu ni Man U na Simba
 
Yanga ni vigeugeu
Yanga ni timu changa japo ilianza zamani.
Hujifananisha na Simba muda wote, Ally Kamwe anahojiwa kuhusu mechi ya Bullzadad na Al Ahly ila anaongelewa Simba muda wote
Kama waliifunga Simba goli 5-1 mpka wakatoa na mabango, je kama wangeifunga Al Ahly si ingekuwa mapumziko wiki nzima watu hawafanyi kazi.
Yanga ameifunga goli 5 si Simba tu ila ushindi anaukumbuka na kuenzi ni wa timu kubwa ya Simba tu hata ile mechi ya Al Ahly alijua atashinda kwasababu kama Simba ametoka draw halafu Yanga alimfunga Simba basi ushindi ni uhakika.
 
Wajinga sana hao
 
Ule msemo Swimbwa ajashinda mechi yoyote Kimataifa mshimu huu bado upo utopoloni ?
 
Yule kocha alikuwa mpumbav
Hapana kuna mahali alikua anapatia hahhaha sema tungechelewa sna na vioaji vingine vingekufa kabisa...leo mpk ka zanzibar kamecheza..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…