Yanga ni timu changa japo ilianza zamani.
Hujifananisha na Simba muda wote, Ally Kamwe anahojiwa kuhusu mechi ya Bullzadad na Al Ahly ila anaongelewa Simba muda wote
Kama waliifunga Simba goli 5-1 mpka wakatoa na mabango, je kama wangeifunga Al Ahly si ingekuwa mapumziko wiki nzima watu hawafanyi kazi.
Yanga ameifunga goli 5 si Simba tu ila ushindi anaukumbuka na kuenzi ni wa timu kubwa ya Simba tu hata ile mechi ya Al Ahly alijua atashinda kwasababu kama Simba ametoka draw halafu Yanga alimfunga Simba basi ushindi ni uhakika.