FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

Hongera mtani mcheza game nzuri mnabahati sana Waydad hii sio ile tunaijua mbovu sana yaani
 
Mimi sijawahi kumtukana Kocha...Utopolo tulia kesho ni kamasi na jasho litawatoka
Namaanisha huyo kocha baadae Makolo jinsi yalivyo na wanavyochanganyikiwa mambo yakienda Kombo watakuja kutukana mpaka kocha pamoja na Mangungu.
 
Unajua ilikuwa ni Usiku sana πŸ˜‚πŸ˜‚
Sanaaaa na mimi nilikuwa na stress zangu babe hapatikani!
Aaaarrgggghh

Anyways, hongereni πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½βœŒπŸ½
 
Namaanisha huyo kocha baadae Makolo jinsi yalivyo na wanavyochanganyikiwa mambo yakienda Kombo watakuja kutukana mpaka kocha pamoja na Mangungu.
Tutolee hapa utabiri wako wa hali ya hewa ndani ya club yetu...kwenu hali ya hewa ni ya unyevu nyevu kesho mnaweza kuoga..
Haya na nyie ma Utopolo kama mlivyochanganyikwa na kipara wenu kutofanya sub??

 
Kocha wa makombe... Duchu, Isra, Kapombr, Kennedy, Zimbwe, Che, Inonga ndani ya kikosi kimoja
 
Nimeikosa hii match. Ila hongereni watani. Kwa kweli tunahitaji tuvuke wote au mmoja wetu. Bravo mtani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…