Kawafungeni na nyie sasa, shida wabongo wamezoea kufungwa tu na timu pinzani, ila timu zetu zikoshinda watu hawataki kuamini kama soka letu linapanda kwa kasi.Tunaizungumzia Wydad ya sasa. Mbona huitaji Galaxy ni ya ngapi kwenye mkeka wa Caf na imeifunga Wydad. Ukweli utabaki wazi kuwa Wydad ya sasa ni vbonde, hivyo msijione miamba sana kuwafunga
Kwanza kwa Wydad hii kila mtu alijua Simba lazima ashinde. Hata kule kwa mlifungwa kwa ujinga wenu. Ingekuwa Azam au Singida angeshinda kule.Kawafungeni na nyie sasa, shida wabongo wamezoea kufungwa tu na timu pinzani, ila timu zetu zikoshinda watu hawataki kuamini kama soka letu linapanda kwa kasi.
Kwa hyo kwenye records wataaindika walifungwa kwa sababu walikua vibonde? Record is record tu
Nianzie Kwa kucheka ,hivi Simba atamfunga nani Kwa staili anayocheza?
Simba ni Simba tu, hata akinyeshewa au kuzeeka hawezi kugeuka paka.Nianzie Kwa kucheka ,hivi Simba atamfunga nani Kwa staili anayocheza?
Ingekuwa Mashujaa wa kigoma, Medeama angekufa nyumbani kwao!! Hapo vipi!!Kwanza kwa Wydad hii kila mtu alijua Simba lazima ashinde. Hata kule kwa mlifungwa kwa ujinga wenu. Ingekuwa Azam au Singida angeshinda kule.
Kwanza umeona kuna wanasimba wengi wanaoshangilia huo ushindi, walijua kushinda ni lazima.
Mkuifunga Asec kule ndio mjiite wanaume
Wewe ni either sio mtu wa mpira au una chuki zako tu na Simba, ukweli nikua timu zetu zimepiga hatua Simba halkadhalika Yanga pia.Kwanza kwa Wydad hii kila mtu alijua Simba lazima ashinde. Hata kule kwa mlifungwa kwa ujinga wenu. Ingekuwa Azam au Singida angeshinda kule.
Kwanza umeona kuna wanasimba wengi wanaoshangilia huo ushindi, walijua kushinda ni lazima.
Mkuifunga Asec kule ndio mjiite wanaume
Kil la kheri kwa Tanzania -Yanga...Wee nani kasema!!
Wana 5inba Leo mnalooo
Khaaah!!!!Kafungwa Mwarabu anableed gongowazi hii imekaaje?
Nmechukia sanaPoleee mchawiii wee. [emoji23][emoji23][emoji23]
Khaaah!!!!Kafungwa Mwarabu anableed gongowazi hii imekaaje?
Igweeeeeeeeeeeeehh!!Kil la kheri kwa Tanzania -Yanga...
Mkikumbushiwa 5G mnakua wakali😀😀5G ipi? Mbona unaleta mambo ya zamani hapa 🤣
Yaani nawaza hivi hawa Simba watatuzomeaje hawa😀Igweeeeeeeeeeeeehh!!
Amen amen! Leo tunalo walai!
Roho inarukajee hapaa
Yanii leo Yanga kazi tunayo ! Simba wamerelax wanatuzooom tu watucheke!Yaani nawaza hivi hawa Simba watatuzomeaje hawa😀
Hapana,CAF kwenye mashindano yao yote cha kwanza wanaangalia head to head,kisha kama mlidraw head to head wanaangalia mwenye magoli mengi ugenini (mfano Simba vs Al Ahly kwenye AFL) halafu hatua ya tatu ndio wanaangalia nani mwenye GD kubwaMkuu siyo kwamba mkilingana points wanaangalia kwanza magoli,yakilingana pia ndo waanhalie head to head?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtashinda, tunatanani mshinde hyo game.Yaani nawaza hivi hawa Simba watatuzomeaje hawa😀
Kwani we hujawahi fungwa 5g tena bila majibuMkikumbushiwa 5G mnakua wakali😀😀
Wanasemaje ?Wachambuzi uchwara [emoji3][emoji3]
Ndiyo dawa zao Makolokolo maana wamejaa umbumbumbu mwingi sana vichwani mwao.Teh teh teh teh [emoji23][emoji23][emoji23] hii comment utatembea nayo msimu mzima.
Team Tanzania zote Simba na Yanga mbele Kwa mbele...Igweeeeeeeeeeeeehh!!
Amen amen! Leo tunalo walai!
Roho inarukajee hapaa