FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

Nianzie Kwa kucheka ,hivi Simba atamfunga nani Kwa staili anayocheza?
 
Chonde chonde "wananchi" tufaeni la jua leo na sisi tutawafaa la mvua kesho!! Kwa pamoja tumshangilie "mnyama" nguvu moja mwanzo mwisho!! Na sisi tutawashangilia "wananchi" kesho mwanzo mwisho!! Mkikataa kuna mmoja anawaona na kesho msitulaumu!!
Huu ushirika umeanza liniiiii? 🀣🀣🀣
Nyie mkitangulia kucheza sio?
 
jamaa anakera sana. ana akili ndogo sana ya kimpira. na baleke anajiona staa yani uwanjani timu inalengo la kupata goli .yeye na inonga wanawazia kushangiliwa na mashabiki. inakera sana.
 
Magoli kama hayo anafungwa Diarra sio Ayoub Lakred
 
jamaa anakera sana. ana akili ndogo sana ya kimpira. na baleke anajiona staa yani uwanjani timu inalengo la kupata goli .yeye na inonga wanawazia kushangiliwa na mashabiki. inakera sana.
jamaa gani hujaeleza
 
jamaa anakera sana. ana akili ndogo sana ya kimpira. na baleke anajiona staa yani uwanjani timu inalengo la kupata goli .yeye na inonga wanawazia kushangiliwa na mashabiki. inakera sana.
haha ha haaa...
baleke ameshakua fadha unyamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…