FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

Nawatakia Kila la heri Simba, ila mkishinda msituletee nyodo, na mkifungwa au kutoka droo tangazeni kuwa mmpembana hadi kufa kiume.
 
Huyu mwarabu leo lazima afe, nasisitiza lazima afe kwa Mkapa. Then next year gari yetu ikiwa imeshawaka vizuri, tunatafuta pointi nne zitakazotufanya kufuzu robo fainali kwenye mechi mbili zitakazokuwa zimebaki.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Kwakuwa mechi ni saa kumi basi simba anashinda leo
 
Back
Top Bottom