FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

Hizo mechi nne zilizobaki hivi bodi ya ligi si ipendekeze kuwa simba icheze na yanga mechi nne zote afu mwisho wa siku tuone nani bingwa😀😀
 
Afu and uchoyo na ubinafsiiii.
Hamjui kama anataka ufalme na yeye,?,kiukweli saidoo kama jana asingekuwa na kazi kubwa ya kukaba na kupokonya mipira angetakiwa atoke tu,ila jana alikuwa na kazi kubwa sana yule mzee yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…