FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

* Familia ya bibi na bwana TFF inayo furaha kubwa kukualika/kuwaalika Bwn/ bib/ prof/ mch/ Mh/Dr/Bwn&bib................ Kwenye harusi ya kijana wao mpendwa YANGA SPORT CLUB Anaetarajia kufunga ndoa na mrembo SIMBA SC BINTI KOLO [emoji1787] Harusi itafanyika siku ya juma pili tarehe 16/04/2023 katika ukumbi wa BENJAMIN MKAPA Jumapili Ndo Hiyo leo Kitawaka kuanzia saa 11:00 jioni hvy ukiwa kama ndugu na jamaa unaombwa kufika bila kukosa ukipata mwariko huu mjurishe na mwenzio.
KUMBUKA KUJA NA ZAWADI YOYOTE YENYE RANGI ZA KIJANI NA NJANO [emoji169][emoji172][emoji28]
 
Kama Kanoute na Mzamiru wataaakuwepo hii game tunashinda kirahisi sana ila akikosa mmoja tunapigwa
 
Jitahidi kuwa mbunifu usipende kucopy na kupaste! Sawa utopwinyo
 
Mzee Rage anacheleweshewa PhD yake
 
Ngoja nikukomoe kolo wewe
 
**********
************************

Familia ya Bwana na Bibi TFF inayo furaha kubwa kukualika/kuwaalika Bwn/ Bibi/ Prof/ Mch/ Mh/Dr/Bwn&Bibi................................. Kwenye harusi ya kijana wao mpendwa YOUNG AFRICAN Anaetarajia kufunga ndoa na binti mrembo SIMBA (ZUWENA).
Harusi itafanyika siku ya Jumapili tarehe 16/04/2023 katika uwanja wa BENJAMIN MKAPA Jumapili Ndo Hiyo leo kitawaka kuanzia saa 11:00 jioni hivyo ukiwa kama ndugu na jamaa unaombwa kufika bila kukosa ukipata mwaliko huu mjulishe na mwenzio

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…