Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Mtafungwa kwa ubora wa kikosi cha Yanga, siyo kwa sababu eti mvuwa hakuna.Kwa hali ya hewa hii....sijui
Malengo ya Yanga ni kutangaza ubingwa leo na siyo kuifunga tu Simba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtafungwa kwa ubora wa kikosi cha Yanga, siyo kwa sababu eti mvuwa hakuna.Kwa hali ya hewa hii....sijui
* Familia ya bibi na bwana TFF inayo furaha kubwa kukualika/kuwaalika Bwn/ bib/ prof/ mch/ Mh/Dr/Bwn&bib................ Kwenye harusi ya kijana wao mpendwa YANGA SPORT CLUB Anaetarajia kufunga ndoa na mrembo SIMBA SC BINTI KOLO [emoji1787] Harusi itafanyika siku ya juma pili tarehe 16/04/2023 katika ukumbi wa BENJAMIN MKAPA Jumapili Ndo Hiyo leo Kitawaka kuanzia saa 11:00 jioni hvy ukiwa kama ndugu na jamaa unaombwa kufika bila kukosa ukipata mwariko huu mjurishe na mwenzio.* Familia ya bibi na bwana TFF inayo furaha kubwa kukualika/kuwaalika Bwn/ bib/ prof/ mch/ Mh/Dr/Bwn&bib................ Kwenye harusi ya kijana wao mpendwa SIMBA SPORT CLUB Anaetarajia kufunga ndoa na binti mrembo YANGA Harusi itafanyika siku ya juma pili tarehe 16/04/2023 katika ukumbi wa BENJAMIN MKAPA Jumapili Ndo Hiyo leo Kitawaka kuanzia saa 11:00 jioni hvy ukiwa kama ndugu na jamaa unaombwa kufika bila kukosa ukipata mwariko huu mjurishe na mwenzio
Punguza hofu. Tutawafunga magoli machache tu.Kwa hali ya hewa hii....sijui
Jitahidi kuwa mbunifu usipende kucopy na kupaste! Sawa utopwinyo* Familia ya bibi na bwana TFF inayo furaha kubwa kukualika/kuwaalika Bwn/ bib/ prof/ mch/ Mh/Dr/Bwn&bib................ Kwenye harusi ya kijana wao mpendwa YANGA SPORT CLUB Anaetarajia kufunga ndoa na mrembo SIMBA SC BINTI KOLO [emoji1787] Harusi itafanyika siku ya juma pili tarehe 16/04/2023 katika ukumbi wa BENJAMIN MKAPA Jumapili Ndo Hiyo leo Kitawaka kuanzia saa 11:00 jioni hvy ukiwa kama ndugu na jamaa unaombwa kufika bila kukosa ukipata mwariko huu mjurishe na mwenzio.
KUMBUKA KUJA NA ZAWADI YOYOTE YENYE RANGI ZA KIJANI NA NJANO [emoji169][emoji172][emoji28]
Rage aliona mbali sanaWatu wasiingie uwanjani kabla ya muda
Mzee Rage anacheleweshewa PhD yakeHaji Manara amewaharibu akili mashabiki wenginwa simba. Tunamshukuru Walace Karia kwa kumfungia huyu mtu kwenye klabu yetu.
Maana kuna uwezekano mkubwa kama angeendelea kuhudumu kwenye klabu yetu, baadhi ya mashabiki wa Yanga nao wangekuwa kama nyinyi. Yaani akisema tu kitu, hata kama ni pumba! Basi mnakichukua kama kilivyo, na kukileta humu jukwaani, kuja kumtukuza.
Ngoja nikukomoe kolo wewe*** Familia ya bibi na bwana TFF inayo furaha kubwa kukualika/kuwaalika Bwn/ bib/ prof/ mch/ Mh/Dr/Bwn&bib................ Kwenye harusi ya kijana wao mpendwa SIMBA SPORT CLUB Anaetarajia kufunga ndoa na binti mrembo YANGA Harusi itafanyika siku ya juma pili tarehe 16/04/2023 katika ukumbi wa BENJAMIN MKAPA Jumapili Ndo Hiyo leo Kitawaka kuanzia saa 11:00 jioni hvy ukiwa kama ndugu na jamaa unaombwa kufika bila kukosa ukipata mwariko huu mjurishe na mwenzio
2-2 or 4-2Vice versa is true
Japo kwa mbaali naiona Ngoma Draw
We ndo hauna akili timamuu maana Mimi nimemreply huyo kolo mwenzio aliyepost hiyo udwanzi..Jitahidi kuwa mbunifu usipende kucopy na kupaste! Sawa utopwinyo
Matokeo ni 2-0,2-2 or 4-2...sema mvua inaharibu uwanja wafanye marekebisho waongeze kuwe navifaa vyakunyonya majiScoreboard itasoma hivi full time Thimba 0-2 Yanga
Kumzidi Manara?Rage aliona mbali sana
Wametoa kafara tyr huko MaliYanga watafungwa kwa sababu ya kujiamini na kiburi na majivuni
Hamna ubora wowote na ndio maana mlifungwa na Ihefu ambayo ni dhaifuMtafungwa kwa ubora wa kikosi cha Yanga, siyo kwa sababu eti mvuwa hakuna.
Malengo ya Yanga ni kutangaza ubingwa leo na siyo kuifunga tu Simba.