FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

Dah! Hali ni tete kwa wananchi! Tukipata hata sare tu ni jambo la kushukuru. Wachezaji wa Yanga wamekuwa ni wazito mpaka basi.

I wish Ibrahim Bacca na viungo wengine wakapewa tu nafasi.
Kikibwa sisi tunataka lile swala la kuwaita "team ndogo" kila team inayofungwa na Simba Sc liendelee hata baada ya hii mechi.

[emoji23]
 
Hizi mechi zinaamuliwa zaidi nje ya uwanjani kuliko mauzauza unayoyaona uwanjani.

Hapo ndio muda wa kocha kuonesha ubora wake wa come back second half anaingiaje.
Comeback ngumu hachomoi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…