Natena wiza
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 428
- 676
Kikibwa sisi tunataka lile swala la kuwaita "team ndogo" kila team inayofungwa na Simba Sc liendelee hata baada ya hii mechi.Dah! Hali ni tete kwa wananchi! Tukipata hata sare tu ni jambo la kushukuru. Wachezaji wa Yanga wamekuwa ni wazito mpaka basi.
I wish Ibrahim Bacca na viungo wengine wakapewa tu nafasi.
[emoji23]