Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Weka takwimu za ubingwa tuone nani anastahili kusema ameuchoka.Mkuu huo ubingwa tumebeba mpaka tumechoka,mara 4 consecutively si mchezo.
Tena msimu huu pambaneni mchukue,maana msimu ujao hamna kitu
Na kuna faulo za uongo yanga alipewa sana na mwamuzi.Hazikuwa faulo kabisaaaYanga wamecheza vizuri hasa kulingana na Hali ya uwanja, Magoli waliyofungwa ni Magoli ya nje ya uwanja, goli la kwanza haikua Kona na mshika kibendera alikua mita mmoja kutoka ulipo mpira.
Goli la pili Yanga wapigiana pass mbovu na Kupoteza mpira bila Sababu.
Zaidi ya yote hawakucheza vibaya ila matokeo Mabaya.
Mtani yale majina mpaka muharibu la sivyo ninyi ni Simba FC [emoji23].Ebu tuite tena yale majina yako tuone how it sounds
🦁🦁🦁🦁🦁🦁Vice versa is true
Japo kwa mbaali naiona Ngoma Draw
Nyie tayari mna kombe lenu!Wachukue tu ubingwa wa ligi hakuna shida...
Bundle lenyewe tu anatumia la niwezeshe ndio atowe wapi jeuri ya kurusha 75 saa hizi?Mimi,Bantu lady na Carleen na Numbisa
Tuletee hapa jangwani[emoji19]
👆🙏napokea namba za mabinti watatu wa yanga niwatumie 25k ya soda kila mmoya kuwapoza
Hoja siyo kushinda ila playing style.acheni kumlaumu leo haikuwa siku yetu
Teke la mlevi huwa haliwezi kurushwa kimo cha mbuziKama la mbumbumbu liko palepale maana hiyo ni sifa ya watu.
Weka link ya utabiri
Hahahahaha umetishaaMtani yale majina mpaka muharibu la sivyo ninyi ni Simba FC [emoji23].
Ila hongereni kwa ushindi mnono Wanathiimba.
Shikamoo mkuuJudgement day! The Revenge moment is due!
Mwanamieleka Michael Pereila alipompiga kwa TKO Mwanamieleka bingwa wa muda wote Israel Andesanya shobo na majigambo vilikuwa vingi sana! Andesanya alivumilia yote akakaa kimya akajipanga kwa rematch... Muda ulipofika ulikuwa ni muda wa hukumu! Muda wa kulipa kisasi, muda wa kukata ngebe na...www.jamiiforums.com
bada ya kushangilia ushindi nimeingiwa na huruma kwa mabinti wa yanga
Aingie professor mbele paleYanga wafanye Nini kipindi Cha tatu?
Linaisha vipi? Labda muache hizo tabia badala ya kusajili mchezaji unamleta kwenye uchaguzi hilo jina linaisha vipi?Teke la mlevi huwa haliwezi kurushwa kimo cha mbuzi
Jina la mbumbumbu leo hallina makali
Club bingwa Simba kashatoka, anaenda kukamilisha ratiba tu.Makolokolo Vs Wydad Casablanca kwanza tujue tuna kikosi bora au tulikamia tu mechi ili ubingwa wa Yanga - NBC PL 2023 usitangaziwe mikononi mwetu.
KULA CHUMA HICHOKwa ushindi wa Andesanya nilitabiri Yanga kupigwa [emoji23]View attachment 2590235