FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

IMG-20230416-WA0141.jpg
 
Yanga wamecheza vizuri hasa kulingana na Hali ya uwanja, Magoli waliyofungwa ni Magoli ya nje ya uwanja, goli la kwanza haikua Kona na mshika kibendera alikua mita mmoja kutoka ulipo mpira.

Goli la pili Yanga wapigiana pass mbovu na Kupoteza mpira bila Sababu.
Zaidi ya yote hawakucheza vibaya ila matokeo Mabaya.
Na kuna faulo za uongo yanga alipewa sana na mwamuzi.Hazikuwa faulo kabisaaa
 
Weka link ya utabiri
 
Shikamoo mkuu
 
Teke la mlevi huwa haliwezi kurushwa kimo cha mbuzi

Jina la mbumbumbu leo hallina makali
Linaisha vipi? Labda muache hizo tabia badala ya kusajili mchezaji unamleta kwenye uchaguzi hilo jina linaisha vipi?

Pesa za uwanja zilizokuwa zinachangwa kwa simu ziko wapi?
 
Back
Top Bottom