FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

Kumbe vifuani mwenu mmehifadhi maumivu makubwa na hamsemi?

Sikujuwa kama ulikuwa unaumia kiasi hiki.

Hii ni ushahidi tosha ya Watanzania walivyo huko mitaani watu wanaumia na mafanikio yako lakini hujui tu.
 
Wapi professor Nabi
 
Kumbe vifuani mwenu mmehifadhi maumivu makubwa na hamsemi?

Sikujuwa kama ulikuwa unaumia kiasi hiki.

Hii ni ushahidi tosha ya Watanzania walivyo huko mitaani watu wanaumia na mafanikio yako lakini hujui tu.
Mafanikio sio kumfunga Yanga mzee.

Kama kuna ishu ya kuoneana wivu kutokana na mafanikio basi hilo mnatakiwa mlifanye nyinyi ambao mnajikokota kimataifa baada ya miaka 30 ya maumivu.

Kinachofanya nifurahi ni namna mlivyokuwa mnapiga kelele na kujipa sifa ambazo hazipo.

Na mimd you ukiachana na ile iliyogonga mwamba yalipaswa yawe matatu.

Jezi nyeusi zimewaletea mkosi ambao mtaweka kwenye kumbukumbu za muda wote
 
K
Mtajijua wenyewe kila mtu ashinde mechi zake.
kama kila mtu ashinde mechi zake leo mbona mmeshindwa?? Safari ya kudondoka imefika, mechi ijayo mapoteza tena , itakayofuata sare na hapo ndoto za ubingwa bye bye!!
 

Huo ujinga wa kushadadia rangi nyeusi ya jersey ni ushamba wa kiwango cha aina yake...
 
Nashauri huyu kipa number tatu wa Simba awe na number moja ni mzuri kuliko Aishi manula,manula angedaka Leo Simba ingekuwa ishachakazwa
Huyu atarogwa aumie mazoezini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…