FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

Kama Manula ameshatafuta visingizio Mtani hapo tegemea maumivu pekee Mtani. 🀣🀣🀣

Sema nini Mtani maandishi ya ahadi yako nimeyakoleza kwa rangi ya Kijani na njano. Teh Teh 🀣🀣
Bora Manula kaigiza kuugua ili adake Salim. Akina Aziz wangejitungulia ya mbali
🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…