Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Kumekuchaaa kumekuchaaa in late mzee Majuto's voice...
Thanx beshte tukutane saa moja..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumekuchaaa kumekuchaaa in late mzee Majuto's voice...
Gemu si saa 11??Kumekuchaaa kumekuchaaa in late mzee Majuto's voice...
Thanx beshte tukutane saa moja..
Acha egnesU...**********
************************
Familia ya Bwana na Bibi TFF inayo furaha kubwa kukualika/kuwaalika Bwn/ Bibi/ Prof/ Mch/ Mh/Dr/Bwn&Bibi................................. Kwenye harusi ya kijana wao mpendwa YOUNG AFRICAN Anaetarajia kufunga ndoa na binti mrembo SIMBA (ZUWENA).
Harusi itafanyika siku ya Jumapili tarehe 16/04/2023 katika uwanja wa BENJAMIN MKAPA Jumapili Ndo Hiyo leo kitawaka kuanzia saa 11:00 jioni hivyo ukiwa kama ndugu na jamaa unaombwa kufika bila kukosa ukipata mwaliko huu mjulishe na mwenzio
**********
************************
Kama kwenye mechi 10 zilizopita Simba na Yanga wamefungana bao 6 kwa 6. Kwa nini Yanga inajiona kama vile iko mbele kwa simba kiushindi!!??Msiba ni mzito kwa simba