Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Dah! Wananchi tumeloa ndembendembe! Ngoja tusubiri haya mabadiliko kama yataleta tija. Ila kipindi cha kwanza viungo wa kati wamecheza nyoronyoro sana.Come on wananchiiiiiiiiiiiiiiiii game bado mbichi hawataamini macho Yao anaecheka mwishoni ndo hucheka sana.
[emoji172][emoji169]