FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

Come on wananchiiiiiiiiiiiiiiiii game bado mbichi hawataamini macho Yao anaecheka mwishoni ndo hucheka sana.
[emoji172][emoji169]
Dah! Wananchi tumeloa ndembendembe! Ngoja tusubiri haya mabadiliko kama yataleta tija. Ila kipindi cha kwanza viungo wa kati wamecheza nyoronyoro sana.
 
Back
Top Bottom