Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wala sijayapinga mkuuHayo ni maoni yangu.
TATIZO LA KUNUNUA MAREFA HILOMechi ya leo imeamulia na saikolojia ya wachezaji, nyuso za wachezaji wa Simba walikuwa na shauku kubwa sana ya kudhihirisha kitu mbele ya wapenzi wa mpira wa miguu ulimwenguni kutokana na kukosolewa kwao kuwa ni kikosi kibovu huku Yanga kwavile wanaongoza ligi na hawajapoteza moja tu wakiaminika kuwa ni bora zaidi. Hali ya kujiamini na kuchukulia mazoea ikaingia kwa mashabiki, wachezaji hadi benchi la ufundi.
Simba walijiandaa sana kiakili kwa hali ya juu hivyo ikawa ni rahisi kwa kuwa ndani ya mchezo katika game plan yao. Yanga kipindi chote cha kwanza walipoteana kabisa, akili zao zilikuwa hazijatulia, halafu wakawa wana mambo mengi mno uwanjani wakati wachezaji wa Simba walikuwa ni kwenda direct na kwa haraka golini kwa Yanga. Kutokana na kuwa na utulivu makosa kwa wacheza wa Simba yakawa ni machache kulinganisha na Yanga waliopotea mchezoni. Kilichowakuta leo ni kama surprise, na yote hiyo ni kutokana na kutokuheshimu mpinzani wako.
Kama hii mentality itabadilika, basi kule kwa Rivers Yanga itapigwa goli nyingi sana. Maana saivi kila mtu anamuonea Simba huruma huku wakijiona wao wapo semi, ila mambo yanaweza kwenda tofauti.
Mwisho namalizia kwa kusema, Yanga msimu ujao ubingwa wa NBC mnapaswa mjipange sana. Ukiangalia kikosi cha Simba kinahitaji tu kiungo mkabaji basi. Ila Yanga inahtaji wapishi wa magoli haswa na namba tisa ambaye asubiri nafasi kumi ndio apate goli moja.
Pia soma hapa namna nilivyompa tahadhari mwana yanga mwenzangu kuamini Simba ni mbovu.
Simba atafungwa na Yanga Jumapili
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuwa huu ni utabiri wangu binafsi juu ya mechi hii yenye kuamua hatma ya Ubingwa wa Ligi kuu Tanzania Bara (NBC PREMIER LEAGUE). Huu ni utabiri tu, unaweza kuukubali au kuukataa kwa sababu zako, ila kwangu nimetabiri Simba atafungwa na Yanga siku ya...www.jamiiforums.com
Zipi hizoKuna ID humu hazionekani kama matiti ya nyoka.
Bila shaka umeishia kusoma kichwa cha habari tu, uzi una sekunde tu umesha comment mkuu.TATIZO LA KUNUNUA MAREFA HILO
Utajua mwenyewe, lakini viwili vya maana vimeingia na tumewaonesha kuwa ninyi ni timu ndogoNipo naangalia Azam TV naona Simba wanakabidhiwa ndoo
Unaongea huku unatetemekaKwenye derby za recently,Simba ni underdog
😅😅😅 Kipofu kaona mwezi leoApostle Leo mtasema yoteeee
Natetema 😅😅Unaongea huku unatetemeka
Mbona unapaniki?Utajua mwenyewe, lakini viwili vya maana vimeingia na tumewaonesha kuwa ninyi ni timu ndogo
Na kwenye hizo mechi Yanga ndiye katwaa mara nyingi ubingwa wa ligi kuu TZ kuliko Makolokolo [emoji38]Hii ililuwa ni mechi ya Ligi ya 20 ndani ya miaka 10. Simba imeshinda 7, Utopolo 5, sare 8.
Bila msaada wa Waamuzi Yanga ni wepesi kama unyoya wa ndege aina ya kweleakwelea[emoji28][emoji28][emoji28] Kipofu kaona mwezi leo
YANGA WEPESI SANA WAMEZOEA KUCHEZA NA MAREFA[emoji83][emoji83][emoji83]
Ebu tuite tena yale majina yako tuone how it soundsNa kwenye hizo mechi Yanga ndiye katwaa mara nyingi ubingwa wa ligi kuu TZ kuliko Makolokolo [emoji38]
Angalia tulizoanza nazo mwanzoni mwa uziZipi hizo