FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

Simba wame oga leo lakini ukumbi wa mabingwa usha jaa itabidi mkae njee tu
 
Shikamoo mkuu
c65c9ff2d8cf6abeef5120e89b160252.jpg
 
Sasa hapa umetabiri nini? Ungekuwa wewe ni shabiki wa Yanga angalau ingemake sense.
 
Nilichokuwa nakitaka ndio hiki kimetokea leo.

Ishu haikuwa sio tu kumfunga Yanga

Bali ni kumfunga Yanga akiwa full compact plus na vile virutubisho vyake vya jezi nyeusi kuihusisha na bahati.

Mwaka jana niliposikia taarifa kuwa Mayele anataka kuuzwa mpaka Senzo kutishia kuondoka endapo atauzwa, nilikuwa mtu niliye tofautiana mtizamo na baadhi ya mashabiki wenzangu wa Simba.

Mimi sikutaka hilo litokee, hiyo yote ilikuwa kwa ajili ya siku kama ya leo.

Tungewafunga wakiwa wamepungukiwa na wale wachezaji wao nyota ningefurahi kama ushindi kumfunga mtani ila vibe lingekuwa too low.

Kwasababu kile kipindi tuwafunge bao 4-1 ni ukweli usiopingika kuwa hawakuwa na kikosi bora. That's why unaona hata wao utetezi wao ulikuwa "tulikuwa tuna kikosi kibovu"

Leo kila waliyetaka kumuona uwanjani, alikuwepo.

Kuanzia benchi la ufundi mpaka wachezaji wote leo walikuwepo, hakukuwa na majeruhi, hakukuwa na wachezaji waliokosa mechi sababu ya kadi za njano.

Leo labda watafute lawama kwa kumkosa Feisali. (Kitu ambacho nitawaona vigeugeu kwasababu wao ndio waliosema no Feisali no problem)

Mwisho nasema mjifunze kuiheshimu Simba, muache ushamba wa kuamini rangi ya jezi kuwa ndio yenye bahati.

Mechi yenu inayofata aanzeni upya hesabu zenu, kuanzia ule ukiritimba wa kufurahia kila mechi kufunga goli hadi unbeaten
 
Linaisha vipi? Labda muache hizo tabia badala ya kusajili mchezaji unamleta kwenye uchaguzi hilo jina linaisha vipi?

Pesa za uwanja zilizokuwa zinachangwa kwa simu ziko wapi?
Aliyekufunga hakuwepo kwenye kampeni za uchaguzi na wala hukumtegemea.

Uliyemtegemea kama tumaini ndio amegeuka kuwa wack of the match.
 
Kukamuliwa mavi kumbe maiti anasikia uchungu.Sio kwa hasira za leo.Kila unayekutana naye anatukana.
 
Back
Top Bottom