Smart AJ
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 5,564
- 5,884
Sio shida zetu hizo,cha msingi TUMEWAKANDA FOREVERHata tukifungwa bado tunaendelea kuongoza ligi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio shida zetu hizo,cha msingi TUMEWAKANDA FOREVERHata tukifungwa bado tunaendelea kuongoza ligi
Sisi tulitaka tuwakande tu,hayo mengine mnajimaliza wenyewe tuuYanga points 68
Simba points 63
MAKOLO msijisahau kua msimu huu hatapata kombe lolote za hili la Leo [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji172][emoji169]
AahahaaaaDah makolo yametufunga bwana ndio naamshwa kula Nimekubali Sasa nlipata denial moja kali Sana
Na nili bet na swalehe wakishinda Kesho na keshokutwa haendi shule naenda mimi kwa niaba ntafte uniform. Sasa aibu hii
Simba kafanya kitu cha msingi sana, Kamnyang'anya bubu simu.
hakika umenena.Weeee,manula bado kiboko,yule jamaa kuna saves huwa anafanya ni kama muujiza,ingawa hyu dogo ni mzuri kwenye one vs one.
Hahahaha[emoji23]Yaani Yanga mnafungwa na akina Kibu de. Jamani
Kipa mzuri wa Simba ni Kakolanya, sama tu hana Bahati.Weeee,manula bado kiboko,yule jamaa kuna saves huwa anafanya ni kama muujiza,ingawa hyu dogo ni mzuri kwenye one vs one.
Amen to that[emoji106][emoji106]Kikubwa point tatu tumeondoka nazo dear [emoji4]
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
Tungeongeza michezo kwenye major defeat history [emoji123]Mbili zimewatosha
Tungefunga nyingi, wangechanganyikiwa sana wale
Kuna raha ya kumshinda mpinzani wako bwana
Hebu tuache tufurahie
Mmelowa leo[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
Mnamafanikio gani nyie mbulula, mmeshindwa kumlipa Fesali alafu mnazungumzia mafanikioKumbe vifuani mwenu mmehifadhi maumivu makubwa na hamsemi?
Sikujuwa kama ulikuwa unaumia kiasi hiki.
Hii ni ushahidi tosha ya Watanzania walivyo huko mitaani watu wanaumia na mafanikio yako lakini hujui tu.
Mtoto ana akili kuliko baba Na Haji alishasema wenye akili baba yake na Mzee Kikwete wengine wote hamnazo.