FT: Simba 2 Geita Gold 1 NBC Premier League

FT: Simba 2 Geita Gold 1 NBC Premier League

Simba wekeni mpira chini bhana tunataka biriani
 
Ila nyie acheni utani, bocco umri umemtupa sana, mmeona alichofanya Morrison ??
 
Haya sasa mzamiru kafanya maajabu haya kwa sekunde moja aliyiingia ya pili kafunga bao, nitashangaa guinnes book wasimuweke kwenye rekord zao
 
Goli la tatu linatagitwa hapa stay turned
 
Huyo Bocco sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom